
Mkutano wa Kwanza Baraza la pili la Madiwani Wafanyika
Posted on: January 29th, 2021
Mkutano wa kwanza wa Baraza la pili la Madiwani umefanyika leo tarehe 29.01.2021.
Kabla ya kuanza kwa Mkutano huo kulitanguliwa na Baraza la kujadili maendeleo ya Kata ambapo kila Diwani ...