• Wasiliana na sisi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Handeni Town Council
Handeni Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • kilimo
    • ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • fedha na uongozi
      • mipango miji na mazingira
      • uchumi afya na elimu
      • ukimwi
      • maadili
    • Ratiba
      • vikao vya waheshimiwa madiwani
      • kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo Mbalimbali
    • fomu mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio

Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika

MAJUKUMU YA IDARA YA KILIMO,UMWAGILIAJI  NA USHIRIKA.

1.    Kuboresha Huduma za Ugani kwa wakulima katika Halmashauri ya Mji.

2.    Kujenga na kuiendeleza Miundombinu ya Umwagiliajji

3.    Kuendeleza matumizi sahihi ya pembejeo za kilimo kama vile mbolea, Matumizi ya mbegu bora na viuatilifu.

4.    Kuendeleza matumizi ya zana bora za kilimo kwa kusaidia uwezeshaji wa matrekta makubwa  na kuyasambaza kwa wakulima              .

5.    Kuanzisha mashamba darasa  katika Kata zinazojishughulisha na Kilimo  

6.    Kuendeleza  teknolojia za usindikaji  na hifadhi ya mazao ili kuongeza thamani na kuboresha mfumo wa masoko .

7.    Kuendeleza kilimo cha mazao ya biashara (Machungwa,Maembe na Katani)

8.     Kuwawezesha Wakulima kushiriki  maonesho ya nanenane ya kanda ya Mashariki.

9.    Kuwezesha mpango wa matumizi bora ya Ardhi Mjini.

10.    Kuhamasisha uanzishwaji wa vyama vya ushirika wa wakulima AMCOS na  SACCOS.

11.    Kutoa Elimu ya Ushirika kwa wanachama na wasio wanachama wa vyama vya ushirika.

12.    Kuviunganisha vyama vya ushirika na wadau wengine( TAASISI ZA FEDHA Kuboresha afya ya Mifugo kwa kutoa                  kinga dhidi ya maradhi mbali mbali.


HUDUMA ZINAVYOPATIKANA.

•    Kupata ushauri wa moja kwa moja toka Ofisi ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika katika Halmashauri.

•    Kupata ushauri wa ana kwa ana toka kwa Wataalam wa Halmashauri, Kata au kwenye Mitaa katika shamba la Mkulima

•    Kupata ushauri toka ofisi ya Kata au ya Mtaa.

•    Mafunzo kwa njia ya Mikutano ( warsha na semina mbalimbali)

•    Mafunzo kwa njia ya Vikundi.

Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 kutoka Handeni Mji December 18, 2020
  • "Joining Instructions" Kwa Mwaka wa Masomo 2021 Handeni Mji December 16, 2020
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • DC Handeni afanya ziara Kata za Kwenjugo na Mdoe

    October 02, 2020
  • Watoto Chini ya Miaka Mitano Wapatiwa Vyeti vya Kuzaliwa Bure

    August 10, 2020
  • Vyeti vya kuzaliwa Kwa Watoto umri chini ya Miaka Mitano

    July 30, 2020
  • Kila la Heri Kidato cha Sita

    June 26, 2020
  • Angalia zaidi

Video

Hati safi
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Kumuona Mkurugenzi
  • Kupata kibali cha Matangazo
  • Muundo wa Tasisi
  • Kumuona Mwenyekiti wa Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Sekretariti ya Ajira
  • Ofisi ya Rais - Ikulu
  • FFARS-LIVE
  • PLANREP- BAJETI 2020/21
  • TAMISEMI
  • Utumishi

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani

Wasiliana na sisi

    Barabara ya Korogwe - Handeni

    Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI

    Simu ya Mezani: 027-2641807

    Simu ya Mkononi: 0785 635383

    Barua pepe: td@handenitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 HTC.Haki zote zimeifadhiwa