Shule Mpya ya Sekondari Ndekai
Shule Mpya ya Sekondari Mlimani
Shule Mpya ya Sekondari Mapinduzi
Ujenzi wa maabara Hospitali ya Wilaya
Ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU)
Ujenzi wa nyumba 3 za walimu (2/1) wa Shule za Sekondari za Ndekai, Kwamagome na Mlimani.
Ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari Kwamagome
Ukarabati wa Hospitali ya Wilaya
Ukarabati wa miundombinu chakavu (wodi 6) katika Hospitali ya Wilaya
Ujenzi wa jengo la Wagonjwa wa Dharura
Ujenzi na ukarabati wa majosho 8
Ujenzi wa vyumba 22 vya madarasa Shule za Sekondari za Handeni 2, Kileleni 1, Kivesa 2, Komnyanganyo 4, Konje 2, Kwediyamba 3, Kwenjugo 1, Malezi 2, Misima 1 na Msaje 4.
Ujenzi wa nyumba ya watumishi (3 in 1) katika Zahanati ya Msaje
Ujenzi wa jengo la Utawala
Ujenzi wa bweni 1 la Watoto wenye mahitaji maalum shule ya Msingi Vibaoni.
Ujenzi wa bweni 1 la wanafunzi Shule ya Sekondari Handeni.
Ununuzi wa dawa na vifaa tiba katika Hospitali 1, Kituo cha afya 1 na zahanati 11.
Ujenzi wa jengo la kuhifadhia maiti (mortuary) Hospitali ya Wilaya.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.