DIRA: “Kuona kwamba watu wa Halmashauri ya Mji Handeni wamepata maisha bora na kujenga uchumi imara na wao wenyewe wameelimika na kupata huduma bora za msingi na kufanya maamuzi kwa misingi ya utawala bora na demokrasia ifikapo mwaka 2025”.
DHAMIRA: “Halmashauri ya Mji Handeni imedhamiria kutoa huduma bora za msingi, kujenga jamii iliyoelimika, uchumi imara unaohimili ushindani na kutoa maamuzi kwa misingi ya utawala bora ili kupunguza umaskini ifikapo mwaka 2025”.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.