Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni Handeni Bw.Kenneth Haule ameongoza wajumbe kutoka Halmashauri ya Mji Handeni kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi mpya za Halamshauri maeneo ya Kilole Kata ya Kwenjugo.
Wakati wa ziara hiyo wajumbe wameshuhudia namna wakala wa majengo Tanzania (TBA) wanavyotekeleza ujenzi wa mradi huo kwa kuonyeshwa maeneo mbalimbali ambayo yameisha anza kujengwa ikiwemo na namna walivyojipanga kuhakikisha wanakamilisha mradi kwa viwango vinavyokubalika.
Pichani hapo juu wajumbe wakikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi mpya za Halmashauri ya Mji Handeni.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.