Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Handeni bw.Omari S.Mashaka anawatangazia wananchi wote kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la uandikishaji wapiga kura lililoanza tarehe 8-14/10/2019.zoezi hili ni kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa vituo vya kujiandikisha vinapatikana kwenye mitaa yote sitini (60) ya Halmashauri ya Mji Handeni na vitafunguliwa kuanzia saa 2:00 Asubuhi mpaka saa 12:00 Jioni
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.