Halmashauri ya Mji Handeni ina idadi ya Ng’ombe 38,006, Mbuzi 25,356, Kondoo 9,567, Nguruwe 1,834, Bata 1,922, Kuku 75,243 na Punda 665. Uwepo wa mifugo ni fursa ya kuanzisha viwanda mbalimbali kama vya kusindika nyama, maziwa, ngozi na kuzalisha bidhaa mbalimbali.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.