Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa ndani:-
1.Kumshauri Mkurugenzi kwenye nyanja za Utawala na Fedha
2.Kusimamia mifumo ya Udhibiti wa ndani (Internal controls)
3.Kusimamia utekelezaji wa Sheria,taratibu na Maagizo kutoka kwenye ngazi mbalimbali za Serikali
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.