• Wasiliana na sisi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Handeni Town Council
Handeni Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • kilimo
    • ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • fedha na uongozi
      • mipango miji na mazingira
      • uchumi afya na elimu
      • ukimwi
      • maadili
    • Ratiba
      • vikao vya waheshimiwa madiwani
      • kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo Mbalimbali
    • fomu mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio

FEDHA ZA BOOST ZALETA MAGEUZI MAKUBWA HANDENI MJI

Posted on: January 5th, 2026

Na Mwandishi Wetu, Handeni TC

HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imefanya ziara ya mafunzo katika Halmashauri ya Mji Handeni kwa lengo la kujifunza utekelezaji wa Mradi wa BOOST unaolenga kuboresha miundombinu ya elimu ya msingi na kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani.

Katika ziara hiyo, Kamati ya Mradi wa BOOST kutoka Jiji la Tanga ilitembelea miradi miwili mikubwa ya ujenzi wa shule za msingi inayotekelezwa na Halmashauri ya Mji Handeni.

 Miradi hiyo ni ujenzi wa Shule ya Msingi Kwediziwa uliogharimu Sh milioni 540.3, ambapo madarasa 16 pamoja na matundu 28 ya vyoo yalijengwa, na Shule ya Msingi Mdoe, ambako Sh. milioni 543 zimetumika 

kujenga madarasa 14 na matundu 28 ya vyoo.


Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Ofisa Elimu wa Halmashauri ya Mji Handeni na Mratibu wa Mradi wa BOOST, Elizabeth Mwakalonge, amesema utekelezaji wa mradi huo umeleta mafanikio makubwa ikiwamo kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani, kupunguza umbali wanaotembea wanafunzi kufuata shule pamoja na kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji.


Kwa upande wake, Katibu Msaidizi wa Tume ya Utumishi wa Walimu Jiji la Tanga na Mjumbe wa Kamati ya Mradi wa BOOST, Kurwa Mhoja, amesema lengo la ziara hiyo ni kujifunza uzoefu wa utekelezaji wa mradi wa BOOST katika Halmashauri ya Mji Handeni pamoja na kubadilishana uzoefu na maafisa elimu ili kuboresha utekelezaji wa miradi hiyo katika Jiji la Tanga.


Ameongeza kuwa ziara hiyo ni sehemu ya jitihada za Serikali katika kuimarisha sekta ya elimu kwa kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa ufanisi na kuleta matokeo chanya kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla.



Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI 2 October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI 1 September 27, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA MITAA September 16, 2024
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • FEDHA ZA BOOST ZALETA MAGEUZI MAKUBWA HANDENI MJI

    January 05, 2026
  • SHULE YA AMALI MAPINDUZI ILIVYO KIELELEZO CHA MAFANIKIO YA SEQUIP HANDENI MJI

    January 05, 2026
  • DC NYAMWESE: HANDENI TUPO MGUU SAWA UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA KWA WOTE

    January 06, 2026
  • MABORESHO MAKUBWA HOSPITALI YA MJI HANDENI YAIMARISHA HUDUMA ZA AFYA

    January 05, 2026
  • Angalia zaidi

Video

Mbunge wa jimbo la Handeni Mjini Mh.Reuben Kwagilwa aliamsha Bungeni
More Videos

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

  • Sekretariti ya Ajira
  • Ofisi ya Rais - Ikulu
  • FFARS-LIVE
  • PLANREP- BAJETI 2020/21
  • TAMISEMI
  • Utumishi

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani

Wasiliana na sisi

    Barabara ya Korogwe - Handeni

    Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI

    Simu ya Mezani: 027-2641807

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: td@handenitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.