• Wasiliana na sisi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Handeni Town Council
Handeni Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • kilimo
    • ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • fedha na uongozi
      • mipango miji na mazingira
      • uchumi afya na elimu
      • ukimwi
      • maadili
    • Ratiba
      • vikao vya waheshimiwa madiwani
      • kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo Mbalimbali
    • fomu mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio

Watoto Chini ya Miaka Mitano Wapatiwa Vyeti vya Kuzaliwa Bure

Posted on: August 10th, 2020

Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Toba Nguvila,  Afisa Tarafa wa Chanika Bw.Lusonge  amezindua mpango wa Uandikishaji na utoaji wa Vyeti vya Kuzaliwa bure kwa watoto chini ya miaka mitano, uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 10.08.2020 katika viwanja vya Zahanati ya Chanika. Katika uzinduzi huo wazazi wenye watoto chini ya umri wa miaka mitano wamepatiwa vyeti vya kuzaliwa bure.

Katika hotuba yake Mkuu wa Wilaya iliyosomwa na Afisa Tarafa amesema "Kwanza nianze kusema ni haki ya Mtoto kutambuliwa lakini zaidi ya hapo akishatambuliwa lazima apate nyaraka ya uthibitisho ya kutambuliwa kwake ambayo ni Cheti cha Kuzaliwa. Kwa wasiojua Cheti cha Kuzaliwa ni nyaraka ambayo kisheria hutumika kuthibitisha taarifa muhimu sana kwa mmiliki wa cheti hicho na hutumika maeneo mbalimbali kupata huduma za kijamii. Cheti cha kuzaliwa kina matumizi mengi, hutumika katika kuandikisha watoto wanaoanza Elimu ya Msingi na wale wanaojiunga na Elimu ya Sekondari na sasa hivi huwezi kupata nafasi ya kujiunga Elimu ya juu pamoja na kupata mikopo kwa ajili ya masomo hayo. Vile vile Cheti cha Kuzaliwa ni kiambatanisho cha Msingi ili kupata nyaraka nyingine za utambulisho kama kadi ya Kupiga Kura, Kitambulisho cha Taifa, pasi ya kusafiria, leseni ya Udereva kote huku utataikiwa kuwa na Cheti cha Kuzaliwa ili kuthibitisha mahali na tarehe uliyozaliwa".

Wazazi/Walezi wa Watoto Chini ya Miaka wakiwa kwenye hafla ya Uzinduzi Viwanja vya Zahanati ya Chanika

Afisa tarafa ya Chanika kwa niaba ya Mkuu Wilaya akifanya uzinduzi

Mzazi akipokea cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto wake Wakati wa Uzinduzi

Kikundi cha Ngoma za Asili kutoka magamba kikitoa burudani wakati wa hafla ya Uzinduzi

Bw.Gerad Kauki Afisa Maliasili akisoma hotuba ya uzinduzi kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni Bw.Kenneth Haule.


Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 kutoka Handeni Mji December 18, 2020
  • "Joining Instructions" Kwa Mwaka wa Masomo 2021 Handeni Mji December 16, 2020
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • DC Handeni afanya ziara Kata za Kwenjugo na Mdoe

    October 02, 2020
  • Watoto Chini ya Miaka Mitano Wapatiwa Vyeti vya Kuzaliwa Bure

    August 10, 2020
  • Vyeti vya kuzaliwa Kwa Watoto umri chini ya Miaka Mitano

    July 30, 2020
  • Kila la Heri Kidato cha Sita

    June 26, 2020
  • Angalia zaidi

Video

Hati safi
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Kumuona Mkurugenzi
  • Kupata kibali cha Matangazo
  • Muundo wa Tasisi
  • Kumuona Mwenyekiti wa Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Sekretariti ya Ajira
  • Ofisi ya Rais - Ikulu
  • FFARS-LIVE
  • PLANREP- BAJETI 2020/21
  • TAMISEMI
  • Utumishi

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani

Wasiliana na sisi

    Barabara ya Korogwe - Handeni

    Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI

    Simu ya Mezani: 027-2641807

    Simu ya Mkononi: 0785 635383

    Barua pepe: td@handenitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 HTC.Haki zote zimeifadhiwa