IDARA YA UJENZI
Idara ya ujenzi ni mojawapo ya idara kuu zinazounda Halmashauri ya Mji Handeni. Idara ya Ujenzi ni Idara iliyoundwa katika mamlaka ya Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) kwa madhumuni ya
1. Kusimamia na kutengeneza barabara za Halmashauri ya Mji Handeni,
2. Kusimamia Ujenzi wa Majengo ya Serikali na kutoa ushauri wa namna iliyobora ya Ujenzi huo; pia miradi ya Mashirika yasio ya k – Serikali pamoja
3. kutoa ushauri wa Ujenzi wa nyumba bora kwa Wananchi ,
4. Kusimamia matengenezo ya magari, mitambo na nishati ya umeme kwenye Majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Mji.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.