Kilimo
Halmashauri ya Mji Handeni ina Jumla ya Wakulima 14,211 wanaolima mazao ya chakula ambayo ni mahindi, maharage, mihogo, mbaazi na viazi vitamu. Aidha, Wakulima 400 wanalima zao la Mkonge na Wakulima 720 wanalima zao la Korosho. Uwepo wa ardhi yenye rutuba unashawishi uwekezaji katika kilimo hasa katika mazao ya mahindi, kunde, mbaazi, alizeti, korosho na mkonge. Ukuaji wa sekta ya kilimo unachochea uwekezaji wa viwanda vya kusindika unga, katani, kukamua alizeti na kuongeza thamani ya mazao.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.