Halmashauri ya Mji Handeni inaendelea kutekeleza Mpango mkakati wake katika nyanja mbalimbali kama inavyoonekana hapa chini:-
Kuboresha huduma na kupunguza Maambukizi ya UKIMWI.
Uboreshaji, uendelezaji na utekelezaji kikamilifu mpango wa Taifa wa Kupambana na Rushwa.
Kuboresha upatikanaji wa Huduma bora za Kijamii.
Kuongeza ubora wa huduma za Kijamii na Miundombinu.
Kuwezesha huduma za Kiutawala na Utawala Bora.
Kuboresha Ustawi wa jamii, Jinsia na kuiwezesha Jamii katika mambo mtambuka na shughuli za kiuchumi.
Kukuza huduma za dharura na usimamizi wa Maafa na Majanga.
Kuendeleza na kusimamia maliasili na usafi wa Mazingira.
Uboreshaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.