Huduma ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
Kutoa elimu kwa jamii kuhusu afya, usafi na njia za kuzuia magonjwa.
Kutoa chanjo kwa watoto na wajawazito kama sehemu ya kuzuia magonjwa ya kuambukiza.
Kusimamia huduma za matibabu kwa magonjwa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na watoto, wajawazito, upasuaji, huduma za mionzi na maabara.
Kuboresha uelewa wa afya katika jamii kupitia elimu, kampeni na programu za kuishi kwa afya bora.
Kuwezesha jamii kupata haki za msingi na ustawi kwa kusimamia na kuratibu mipango ya jamii, kupambana na UKIMWI, utoaji msaada wakati wa milipuko ya magonjwa na kutayarisha taarifa za ustawi wa jamii.
Kueneza elimu kuhusu lishe bora; kusimamia sera, mipango na miradi ya lishe; kutoa huduma kwa watoto, watu wazima na watu wenye mahitaji maalum.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.