Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya mji Handeni Ndugu Shomari Bane kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Handeni amesema hayo leo katika mafunzo ya uwezeshwaji wa viongozi wa elimu ngazi ya kata na shule inayofanyika katika mafunzo maalumu kwa viongozi wa elimu wakiwemo waratibu elimu kata 12, walimu wakuu 41 na wenyeviti wa kamati za shule 41,ikiwa ni katika kuwakumbusha majukumu yao hususani katika kuwajengea uelewa wa mradi wa Shule bora kuhusu ushirikishwaji wa wazazi na walimu katika maendeleo ya shule.
Washiriki wa mafunzo wakiendelea kufuatilia maelekezo yanayotolewa na wawezeshaji
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.