Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Handeni Mh.Mussa Mkombati kwa niaba ya baraza la madiwani wa Halmashauri ya mji Handeni, anampongeza Bi.Maryam Ukwaju kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kumteua tena kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni. Baraza linamtakia kila la kheri katika kazi zake
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.