Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji Handeni kupitia mkutano wake maalum limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya kawaida na mpango wa maendeleo kwa mwaka wa fedha 2019/20.
Ambapo Halmashauri inatarajiwa kukusanya na kupokea jumla ya Tshs 15,890,171,067.60.
Jedwali la Mapendekezo ya Bajeti ya mwaka 2019/2020
Na | Maelezo ya Bajeti | Bajeti (Tshs) |
1 | Mapato ya Ndani | 1,644,798,523.60 |
2 | Ruzuku ya Mishahara | 9,640,324,000.00 |
3 | Ruzuku ya Matumizi mengineyo toka Serikali kuu (OC) | 805,918,460.00 |
4 | Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo | 3,799,130,084.00 |
|
Jumla | 15,890,171,067.60 |
Mkuu wa Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji bw.Abiudi Kulwijira akiwasilisha Rasimu na mpango na Bajeti ya mwaka 2019/2020 wakati wa mkutano wa Baraza tarehe 21/02/2019
Wajumbe wa Baraza la Madiwani wakifuatilia uwasilishaji wa rasimu na mpango na Bajeti ya mwaka wa fedha 2019/2020 wakati wa mkutano wa baraza tarehe 21/02/2019
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.