Wataalam wa Halmashauri ya mji Handeni wanaounda kamati ya BOOST inayosimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi wakiongozwa na Afisa Elimu Msingi Mwl. Shomari Ally Bane(pichani) leo wameendelea na uhamasishaji kwa wananchi juu ya ushiriki wao katika kuchangia nguvu kazi zao katika ujenzi wa mradi. Kata ya Mdoe, mtaa wa Mdoe umepatiwa na serikali kupitia BOOST kiasi cha shilingi milioni 540.3 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya msingi yenye mikondo miwili.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.