• Wasiliana na sisi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Handeni Town Council
Handeni Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • kilimo
    • ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • fedha na uongozi
      • mipango miji na mazingira
      • uchumi afya na elimu
      • ukimwi
      • maadili
    • Ratiba
      • vikao vya waheshimiwa madiwani
      • kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo Mbalimbali
    • fomu mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio

DC HANDENI AWAAGIZA WAKUU WA SHULE KUELEKEZA NGUVU KWENYE MAADILI NA UFAULU

Posted on: July 26th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese, amewaagiza wakuu wa shule na walimu kuhakikisha wanaweka mkazo katika kuimarisha maadili na ufaulu wa wanafunzi katika shule zote za msingi na sekondari wilayani humo.

Akizungumza leo wakati wa ziara ya kukagua shule za msingi Mlimani, Vibaoni na Chanika, Mhe. Nyamwese alisema kuwa ni jukumu la viongozi wa shule kuhakikisha kila mtoto anapata elimu bora itakayomwezesha kufaulu na kuwa raia mwema katika jamii.

Katika ziara hiyo, Mkuu wa Wilaya alikagua miundombinu ya shule, ikiwemo hali ya madarasa, vifaa vya kujifunzia, mazingira ya walimu na wanafunzi pamoja na kuzungumza moja kwa moja na walimu na wanafunzi kwa lengo la kusikiliza changamoto na kutoa hamasa ya kitaaluma.

“Tunahitaji kuona matokeo mazuri. Kila mmoja wetu anapaswa kuwajibika katika nafasi yake kuhakikisha Handeni inakuwa kinara katika ufaulu wa kitaifa. Elimu ni msingi wa maendeleo ya Taifa,” alisisitiza Mhe. Nyamwese.

Ziara hiyo ni sehemu ya utaratibu wa Mkuu wa Wilaya kutembelea shule mbalimbali kwa ajili ya kusimamia kwa karibu utekelezaji wa sera na mikakati ya elimu. Aliongozana na Katibu Tawala wa Wilaya ya Handeni Bi. Magreth Killo, Afisa Tarafa wa Chanika Bi. Julieth Mushi, watendaji wa mitaa na maafisa kutoka Halmashauri ya Mji Handeni.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI 2 October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI 1 September 27, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA MITAA September 16, 2024
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • DC HANDENI AWAAGIZA WAKUU WA SHULE KUELEKEZA NGUVU KWENYE MAADILI NA UFAULU

    July 26, 2025
  • HOSPITALI YA HALMASHAURI YA MJI HANDENI IMETOA ELIMU YA KUJINGA KWA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA KWA WAFANYAKAZI WA BOMBA LA MAFUTA WILAYA YA HANDENI EACOP

    March 21, 2025
  • BARAZA MAALUMU LA MADIWANI LAPENDEKEZA KUONGEZEWA MAENEO YA UTAWALA

    March 14, 2025
  • MKUTANO MKUU WA 39 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT)

    March 11, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Mbunge wa jimbo la Handeni Mjini Mh.Reuben Kwagilwa aliamsha Bungeni
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Kumuona Mkurugenzi
  • Kupata kibali cha Matangazo
  • Muundo wa Tasisi
  • Kumuona Mwenyekiti wa Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Sekretariti ya Ajira
  • Ofisi ya Rais - Ikulu
  • FFARS-LIVE
  • PLANREP- BAJETI 2020/21
  • TAMISEMI
  • Utumishi

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani

Wasiliana na sisi

    Barabara ya Korogwe - Handeni

    Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI

    Simu ya Mezani: 027-2641807

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: td@handenitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.