Halmashauri ya Mji Handeni yatoa Mikopo ya Maendeleo kwa Wajasiriamali Wanawake na Vijana kujikwamua kiuchumi.
Wajasiriamali Wadogo wapatao 18 wa Soko la Zizini Chogo wamepatiwa Mkopo wa Tshs 200,000 kila Mmoja ili kuendeleza Biashara zao pamoja na kujikwamua kiuchumi.Fedha hizi ni kutoka Mapato ya Ndani ya Halmashauri.
Diwani wa Kata ya Mdoe mhe,Mwinshashi Ulenge (wa kwanza kutoka kushoto) akipokea fedha za mkopo kwa niaba ya Wajasiriamali kutoka kwa Thomas Mzinga (katikati) Afisa Maendeleo ya Jamii
Makabidhiano ya mikopo kwa Wajasiriamali Wadogo yakiendelea ndani ya Ofisi
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.