Halmashauri ya Mji Handeni leo tarehe 25-04-2023 kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Mazingira pamoja na wananchi wa Handeni Mji wameshiriki zoezi la upandaji miti katika kata ya Vibaoni, mtaa wa Kileleni, eneo la shule ya msingi Mlimani ikiwa ni katika kuelekea kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.