Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi mhe.William Lukuvi ameahidi Mahakama ya baraza la Ardhi kuanza Shughuli zake Katika Wilaya ya Handeni.
Mhe Lukuvi ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa adhara na Wananchi wa Handeni kwenye Viwanja vya Soko la Zamani Chanika (Handeni Square) tarehe 22/10/2019 wakati akisikiliza kero za migogoro ya Ardhi na kuitatua pale ilipowezekana.Mhe Waziri alitumia muda mwingi kumsikiliza Mwananchi mmoja mmoja bila kubagua ambapo watu wengi walijitokeza na kuwasilisha kero zao.
Vile vile Waziri aliwakumbusha Wananchi kufuata taratibu za kumiliki Ardhi ili kuepusha usumbufu wakati kumiliki, amesisitiza vile vile kabla kuanza ujenzi wahakikishe wanakata vibali vya Ujenzi.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.