Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni Bw.Kenneth Haule (wa kwanza kushoto) akipokea hati ya makabidhiano ya mali na madeni kutoka kwa Bw.William Makufwe Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Handeni.
Mhe.Godwin Gondwe Mkuu wa Wilaya ya Handeni amesisitiza Umoja na Ushirikiano uendelee kuwepo kati ya Halmashauri zote mbili za Wilaya Handeni ili Wananchi waendelee kupatiwa Huduma muhimu kama vile Maji,Afya na Elimu na Maendeleo kwa ujumla ameyasema hayo kwenye hafla ya makabidhiano ya mali na madeni kwa Halmashauri hizo.
Kwa upande wa Viongozi wa Halmashauri hizi yaani Wenyeviti na Wakurugenzi wote wameahidi kuendelea kuonyesha ushirikiano wa hali ya juu ili kuwaletea maendeleo Wananchi wa Wilaya ya Handeni
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.