Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni Bw.Kenneth Haule anawakaribisha Wananchi wote kujitokeza kwa wingi kwenye maonesho ya Nanenane yanayoendelea kwenye Kiwanja cha Kigoda kilichopo katika Kata ya Chanika.
Kwenye maonesho haya kuna Wajasiriamali mbalimbali waliyobuni bidhaa zinazotokana na viwanda vidogo,mfano wa bidhaa hizo ni majiko ya aina mbalimbali yanayotumia mkaa na kuni.z
Vilevile katika maonesho haya ushauri wa bure unatolewa kwa Wanachi na wataalam waliobobea kwenye fani mbalimbali kama vile Kilimo, Mifugo, Ushonaji, ubunifu wa vifaa vya Majumbani pamoja na Utunzaji wa Mazingira.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.