Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Martine Shigela amewata wananchi wa Halmashauri ya Mji Handeni kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi zinazopatikana katika Wilaya ya Handeni ili kuendelea kujikwamua kiuchumi.
Hayo ameyazungumza kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 22/06/2017 kwenye uwanja wa Chanika.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.