Mwenge wa Uhuru umekimbizwa katika Halmashauri ya Mji Handeni tarehe 27/09/2017 na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ambapo jumla ya miradi mitano (5) ilifunguliwa na mradi mmoja uliwekwa jiwe la msingi.
Miradi iliyofunguliwa ni:-
1)Daraja mfuto liliopo katika Kata ya Kwediyamba
2)Jengo la Nyumba ya Walimu katika Shule ya Sekondari Misima
3)Kiwanda cha kuchakata Maji cha Mayangwa kilichopo katika Kata ya Kwediyamba,kiwanda hiki kinabadili Maji ya chumvi kwenda Maji ya kawaida
4)Kiwanda cha kutengeneza bidhaa mbalimbali kama vile majiko,masanduku
5)Ghala la kuhifadhia nafaka
Mradi uliowekewa jiwe la msingi ni Zahati ya Kwasindi iliyopo Kata ya Mlimani
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.