Baraza la Madiwani linalounda Halmashauri ya Mji Handeni kwa pamoja limepitisha rasimu ya mpango na bajeti ya Halmashauri ya Mji Handeni kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo Halmashauri imekasimia kuwa na kiasi cha Tshs.15,145,461,801.73 kama inavyooneshwa kwenye mchanganuo hapo chini.
Na | Maelezo ya Bajeti | Bajeti (Tshs) |
1 | Mapato ya ndani | 1,206,623,035.20 |
2 | Ruzuku ya Mishahara | 9,406,170,000.00 |
3 | Ruzuku ya Matumizi mengineyo toka Serikali Kuu (OC) | 1,196,974,400.00 |
4 | Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo | 3,335,694,366.53 |
|
Jumla | 15,145,461,801.73 |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni Bw.Kenneth Haule ameliomba Baraza la madiwani kundelea kutoa ushirikiano katika kubuni na kundelea kuibua vyanzo vya mapato kwa ajili ya kundelea kuleta maendeleo ndani ya Halmashauri kwa kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.