Usaili wa Watu walioomba kazi ya Waandishi wasaidizi na BVR KIT Operator katika Halmashauri ya Mji Handeni umefanyika leo tarehe 12.01.2020 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari handeni,Watu wengi wamejitokeza kwa wingi.
Afisa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Handeni bw.Thomas Mzinga (kutoka kulia) akimfanyia usaili mmoja wa wasailiwa.
Afisa Mwandikishaji msaidizi Halmashauri ya Mji Handeni bi.Elizabeth Mwambashi (kutoka kushoto) akiendelea kufanya usaili.
wasailiwa waliofika Shule ya Sekondari Handeni mnamo tarehe 12.01.2020.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.