Waziri wa Mifugo na Uvuvi DKT Ashatu KIjaji (Mbunge) amefanya ziara Handeni Mjini na kuwweka Jiwe la Msingi katika Shule ya Sekondari kwaMagome iliyopo Halmashauri ya Mji Handeni, Mradi huu wa ujenzi ya Nyumba ya Walimu 2/1 wenye thamani ya Shilingi za Kitanzania Millioni 98 ni sehemu ya jitihada za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha kuwa sekta ya Elimu inapata vipaumbele vinavyostahili kwa maendeleo endelevu.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.