Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tamzania Mhe. DKT. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi na kufungua Jengo la Utawala la Halmashauri ya Mji Handeni ulioghraimu zaidi ya Billioni 3.6, katka ziara hiyo DKT. Samia amesisisitza uwajibijikaji katika kuhudumua na wananchi na kuwasisitiza wafanya biashara kulipa kodi kwa ili kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.