Mhe Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajia kufanya ziara katika Halmashauri ya Mji Handeni tarehe 03 Machi 2020.Atatembelea jengo jipya la Halamshauri linalojengwa eneo la kilole, baada ya hapo atazungumza na Watumishi katika Ukumbi wa Nemdende atahitimisha kwa kufanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Shule ya Msingi Chanika kuanzia saa 8 mchana.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.