Baadhi ya Wananchi wa Halmashauri ni wakulima wa mazao mbalimbali ya biashara na chakula,Mazao makubwa ya yanayolimwa ni mahindi,maharage,mihogo,mbaazi,choroko na kwa sasa zao la korosho limeanza kulimwa maana tafiti zinaonyesha Ardhi inakubali kustawisha korosho.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi: 0785 635383
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Hatimiliki©2017 HTC.Haki zote zimeifadhiwa