TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA SHILINGI 260,883,417/= KWA MCHANGANUO WA MFUKO WA JIMBO TSHS 60,706,000,000/= NA MATUMIZI YA KAWAIDA TSHS 200,177,417.00 KUTOKA SERIKALI KUU KWA MWEZI DISEMBA 2025
Nawatangazia kuwa Halmashauri ya Mji Handeni imepokea fedha tarehe 31/12/2025 Shilingi 260,883,417/= (Milioni Mia mbili sitini, Mianane themanini na Tatu Elfu na shilingi Mia Kumi na Saba) kutoka Serikali Kuu.
Fedha hizi ni kwa ajili ya Mfuko wa Jimbo Shilingi 60,706,000/= na matumizi ya kawaida Shilingi 200,177,417/=, uendeshaji wa ofisi kwa mwezi Disemba 2025 kwa kila idara na vitengo kwa mchanganuo
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.