• Wasiliana na sisi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Handeni Town Council
Handeni Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • kilimo
    • ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • fedha na uongozi
      • mipango miji na mazingira
      • uchumi afya na elimu
      • ukimwi
      • maadili
    • Ratiba
      • vikao vya waheshimiwa madiwani
      • kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo Mbalimbali
    • fomu mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio

Maadhimisho ya Juma la Elimu Mkoa wa Tanga Yafana.

Posted on: April 29th, 2019

Maadhimisho  ya Juma la Elimu  Mkoa wa Tanga yamefanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 26-27/04/2019 katika Wilaya ya Handeni.Katika maadhimisho hayo wadau mbali mbali wa Elimu wa Mkoa wa Tanga Wakiongozwa na Mhe.Martine Shigela (Mkuu wa Mkoa wa Tanga) walipata fursa ya kutembelea miradi ya Elimu ikihusisha Ujenzi wa vyumba vya madarasa, maabara, mabweni pamoja na shamba la Shule la takribani ekari ishirini lenye mazao mbali mbali ya chakula na biashara.

Mh. Shigela alipotembela shamba la shule ya Sekondari ya Komnyang’anyo lenye ekari zaidi ya 20 iliyopandwa mihogo, mahindi na korosho aliagiza kila Halmashauri kuiga mfano huo ili kuondokana na uhaba wa chakula shuleni kwani upatikanaji wa chakula una uhusiano mkubwa katika ufaulu wa wanafunzi.

Katika kikao cha tathmini ya maendeleo ya Elimu ya Mkoa Mh.Shigela alitaka kila ngazi ya Uongozi katika kila Halmashauri kufanya tatmini ya Elimu kila mara ili kujua changamoto za maendeleo ya Elimu mapema na kuzitatua kwa wakati ikiwemo suala la upatikanaji wa chakula shuleni, utoro wa wanafunzi, suala la mimba kwa wanafunzi na maendeleo ya taaluma na michezo.

Katika Maadhimisho hayo Mhe.Shigela aligawa zawadi kwa Shule, Wanafunzi pamoja na Walimu waliofanya vizuri kwenye sekta mbali mbali za Elimu.

RC Shigela akiwa na Wadau wa Elimu kwenye Shamba la Shule ya Sekondari Komnyang'anyo kwenye maadhimisho ya Juma la Elimu.

Mhe.Twaha Mgaya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Handeni akishiriki Shughuli ya Ujenzi kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu.

Bw.Kenneth Haule Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji handeni akiwasilisha taarifa ya tathimini ya Elimu katika maadhimisho ya Juma la Elimu

Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 kutoka Handeni Mji December 18, 2020
  • "Joining Instructions" Kwa Mwaka wa Masomo 2021 Handeni Mji December 16, 2020
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • DC Handeni afanya ziara Kata za Kwenjugo na Mdoe

    October 02, 2020
  • Watoto Chini ya Miaka Mitano Wapatiwa Vyeti vya Kuzaliwa Bure

    August 10, 2020
  • Vyeti vya kuzaliwa Kwa Watoto umri chini ya Miaka Mitano

    July 30, 2020
  • Kila la Heri Kidato cha Sita

    June 26, 2020
  • Angalia zaidi

Video

Hati safi
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Kumuona Mkurugenzi
  • Kupata kibali cha Matangazo
  • Muundo wa Tasisi
  • Kumuona Mwenyekiti wa Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Sekretariti ya Ajira
  • Ofisi ya Rais - Ikulu
  • FFARS-LIVE
  • PLANREP- BAJETI 2020/21
  • TAMISEMI
  • Utumishi

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani

Wasiliana na sisi

    Barabara ya Korogwe - Handeni

    Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI

    Simu ya Mezani: 027-2641807

    Simu ya Mkononi: 0785 635383

    Barua pepe: td@handenitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki©2017 HTC.Haki zote zimeifadhiwa