Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni kupitia Mradi wa Upimaji Viwanja Kwedisewa, Bwila,na Ngungwini inayo furaha kuutangazia Umma wa Watanzania kuwa Halmashauri inauza viwanja vilivyopimwa kwa bei nafuu kwa ajili ya matumizi mbali mbali (Makazi,Biashara, Makazi/Biashara na Taasisi)
Viwanja vinapatikana Kwedisewa Kata ya Kwenjugo vinapakana na Barabara ya kutoka Handeni kwenda Korogwe.
Ngugwini kata ya Kwenjugo viwanja vinapakana na Ofisi za Halmashauri ya Mji Handeni
Bei za Viwanja zimeambatanishwa kwenye picha
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.