Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Bi. Maryam Ukwaju, ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), unaoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi mbalimbali, wakiwemo Wakurugenzi wa Halmashauri, Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri, na Wabunge, wakijadili masuala muhimu yanayohusu maendeleo ya serikali za mitaa nchini.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.