Unaweza kuonana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni kwa kupitia hatua zifuatazo:
1. Kuomba miadi kwa njia ya Simu au Barua.
2. Wenye shida mbalimbali wanaweza kufika Ofisi ya Mkurugenzi na kuwasilisha shida zao na kupewa huduma wanayoihitaji.
Ofisi ya Mkurugenzi ipo wazi siku zote za kazi kuanzia saa 1:30 Asubuhi - hadi Saa 9:30 Alasiri.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.