NAMNA YA KUPATA KIBALI CHA MATANGAZO
1.KUFIKA OFISI YA MAENDELEO YA JAMII HALMASHAURI YA MJI HANDENI KUPATA MAELEKEZO NA KIASI CHA FEDHA KINACHOTAKIWA KULIPWA KULINGANA NA AINA YA MATANGAZO.
2.KUFIKA OFISI YA UHASIBU ILI KUPATIWA HATI YA MADAI (INVOICE) YA KWENDA KULIPIA BENKI.
3.HATI YA MADAI INARUDISHWA KWA MHASIBU ILI KUHAKIKI
4.KURUDI OFISI YA MAENDELEO YA JAMII ILI KUPEWA KIBALI CHA KUFANYA MATANGAZO
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.