Halmashauri ya Mji Handeni yapongezwa kwa kupata hati safi kwa kipindi cha Miaka 4 mfululizo toka kuanzishwa kwake rasmi Mwaka 2015.
Pongezi hizo zimetolewa kwenye mkutano wa Baraza maalum la kupitia taarifa za ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti Mkuu wa hesabu za Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/19 lililofanyika tarehe 03/06/2020.
Mkutano huo umeudhuliwa na wageni mbalimbali wakiongozwa na mhe.Martine Shigela Mkuu wa Mkoa wa Tanga akiambatana na bi Judica Omari Katibu Tawala wa Mkoa.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.