Kamati ya fedha na Utawala yaridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Kamati ilitembelea miradi hiyo kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 30-31/01/2019.
Kamati ilitembelea jumla ya miradi kumi na mbili ambayo inatekelezwa kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
Ujenzi wa darasa moja kati ya mawili katika Shule ya Sekondari Konje ukiendelea wakati wa ziara ya kamati ya fedha ilipofika Shuleni hapo
Muonekano wa maabara ya Shule ya Sekondari Konje kama ilivyokutwa na kamati ya fedha na utawala ilipofanya ziara Shuleni hapo.
Kamati ya fedha na utawala ikiwa kwenye eneo la mradi wa Maji wa Malezi ilipofanya ziara katika eneo hilo
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.