• Wasiliana na sisi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Handeni Town Council
Handeni Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • kilimo
    • ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • fedha na uongozi
      • mipango miji na mazingira
      • uchumi afya na elimu
      • ukimwi
      • maadili
    • Ratiba
      • vikao vya waheshimiwa madiwani
      • kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo Mbalimbali
    • fomu mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio

MABORESHO MAKUBWA HOSPITALI YA MJI HANDENI YAIMARISHA HUDUMA ZA AFYA

Posted on: January 5th, 2026

Na Mwandishi Wetu, HANDENI TC

Maboresho ya huduma za afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni yameanza kuleta matokeo chanya baada ya idadi ya wagonjwa wanaohudumiwa kwa siku kuongezeka kutoka wagonjwa 100 hadi kufikia 175.

Akizungumza kuhusu maboresho hayo, Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Handeni, Dkt.Hudi Muradi, amesema ongezeko hilo limetokana na kuboreshwa kwa miundombinu ya hospitali ambayo serikali imetoa Sh.Bilioni 1.8 kujenga jengo jipya la maabara la kisasa, wagonjwa mahututi, wagonjwa wa dharura, chumba cha kuhifadhia maiti na ukarabati wa wodi.

Amesema pia upatikanaji wa vifaa tiba vya kisasa pamoja na kuimarika kwa utoaji wa huduma za uchunguzi na matibabu kumechochea ongezeko la idadi ya wagonjwa wanaofika kupata huduma.

Ameeleza kuwa kwa sasa huduma zote muhimu za uchunguzi wa magonjwa zinapatikana hospitalini hapo, huku huduma za kibingwa zikiendelea kutolewa muda wote, hatua inayowapunguzia wananchi gharama na usumbufu wa kufuata huduma hizo nje ya halmashauri.

Aidha, amesema hivi karibuni serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 1.2 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa, jambo lililochangia kwa kiasi kikubwa kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma na kuimarisha imani ya wananchi kwa hospitali hiyo.

Mganga Mkuu huyo ameongeza kuwa dhamira ya Serikali ni kuhakikisha wananchi wote wanapata huduma bora na za uhakika kupitia utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote, ambao unalenga kuweka usawa katika upatikanaji wa huduma za afya kati ya wananchi wenye kipato kikubwa na wale wa kipato cha chini.

Amesisitiza kuwa hospitali itaendelea kuboresha huduma ili kukidhi mahitaji ya wananchi na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha sekta ya afya nchini.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI 2 October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI 1 September 27, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA MITAA September 16, 2024
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • FEDHA ZA BOOST ZALETA MAGEUZI MAKUBWA HANDENI MJI

    January 05, 2026
  • SHULE YA AMALI MAPINDUZI ILIVYO KIELELEZO CHA MAFANIKIO YA SEQUIP HANDENI MJI

    January 05, 2026
  • DC NYAMWESE: HANDENI TUPO MGUU SAWA UTEKELEZAJI BIMA YA AFYA KWA WOTE

    January 06, 2026
  • MABORESHO MAKUBWA HOSPITALI YA MJI HANDENI YAIMARISHA HUDUMA ZA AFYA

    January 05, 2026
  • Angalia zaidi

Video

Mbunge wa jimbo la Handeni Mjini Mh.Reuben Kwagilwa aliamsha Bungeni
More Videos

Viunganishi vya Haraka

Viunganishi Linganifu

  • Sekretariti ya Ajira
  • Ofisi ya Rais - Ikulu
  • FFARS-LIVE
  • PLANREP- BAJETI 2020/21
  • TAMISEMI
  • Utumishi

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani

Wasiliana na sisi

    Barabara ya Korogwe - Handeni

    Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI

    Simu ya Mezani: 027-2641807

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: td@handenitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.