Maryam Ahmad Ukwaju
Cheo: Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Handeni
Simu:
SLP: 21882 Handeni Tanga
Barua Pepe:
Tarehe ya Kuzaliwa: 1981-01-04
Elimu
Jina Shule/Chuo/Mahali
|
Kozi/Shahada/Tuzo
|
Kuanzia
|
Mpaka
|
Kiwango Cha Elimu
|
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania Mwanza
|
Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Biashara
|
2017
|
2019
|
Shahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Biashara
|
Shule ya Sheria ya Tanzania Dar es Salaam
|
Stashahada ya Uzamili ya Mazoezi ya Sheria (PGDLP)
|
2011
|
2011
|
| Stashahada ya Uzamili ya Mazoezi ya Sheria
|
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
|
Shahada ya Kwanza ya Sheria (LLB Hons)
|
2002
|
2006
|
Shahada ya Sheria (LLB Hons)
|
Shule ya Sekondari ya Kilakala Morogoro
|
Cheti cha Masomo ya Sekondari ya Juu (ACSEE)
|
1999 |
2001
|
| Cheti cha Masomo ya Sekondari ya Juu (ACSEE)
|
Shule ya Sekondari ya Kunduchi Dar es Salaam
|
Cheti cha Elimu ya Sekondari (CSEE)
|
1994
|
1998
|
Cheti cha Elimu ya Sekondari
|
Uzoefu wa Kazi
Taasisi
|
Cheo
|
Kuanzia
|
Mpaka
|
Halmashauri ya Mji wa Handeni
|
Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji Handeni
|
2021
|
Mpaka sasa
|
Halmashauri ya Jiji la Mwanza
|
Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi
|
2012
|
2016
|
Halmashauri ya Jiji la Mwanza
|
Afisa Sheria
|
2006
|
2011
|
Mafanikio
Amefanikiwa kuongeza mapato yasiyolindwa kwa zaidi ya asilimia 90 kutoka Shilingi milioni 800 za Kitanzania hadi zaidi ya Shilingi bilioni 1.5 za Kitanzania.
Amefanikiwa kuongeza mikopo kwa wanawake kutoka Shilingi 60,000 za Kitanzania hadi Shilingi milioni 400.
Amefanikiwa kutekeleza miradi kadhaa a maendeleo ikiwemo ujenzi wa jengo jipya la Halmashauri ya Mji wa Handeni, shule, hospitali na nyumba za watumishi wa umma.
Amefanikiwa kusimamia ujenzi wa Majosho manne yenye thamani ya Shilingi za Kitanzania Milioni 24
Amefanikiwa kusimamia ujenzi wa Majosho manne mapya yenye thamani ya Shilingi za Kitanzania Millioni 72
Amefanikiwa kusimamia ujenzi wa Uzio wa Mnada wa Ndelema wenye thamani ya Shilingi za Kitanzania Milioni 287
Amefanikiwa kusimamia ujenzi wa kibanda cha kuwekea Mzani wa Mifugo wenye thamani ya Shilingi za Kitanzania Milioni 3
Amefanikiwa kusimamia utekelezaji wa mradi wa uzalishaji wa kitalu cha mkonge chenye miche cha hekari 260 chenye miche 370000 kilichogharimu Shilingi za Kitanzania Milioni 12,050,000
Amefanikiwa kusimamia utekelezai wa ujenzi wa jengo la nane nane mkoani Morogoro lenye thamani ya Shilingi za Kitanzania Millioni 15
Utekelezaii wa mradi wa kitalu cha korosho kilichogharimu fedha za Kitanzania Shilingi 16,600,500
Matarajio ya Mkurugenzi
Kupanua wigo wa ukusanyaji wa mapato kupitia vyanzo mbalimbali.
Kuendelea kutoa mikopo kwa wakazi wote wenye sifa wa Halmashauri ya Mji wa Handeni.
Kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo Halmashauri ya Mji wa Handeni
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.