Posted on: March 21st, 2025
Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni imeendelea kutoa elimu ya afya kwa wafanyakazi wa kambi ya Misima – Mradi wa EACOP Awamu ya Pili leo Ijumaa, tarehe 21 Machi 2025. Mpango huu unalenga kuh...
Posted on: March 14th, 2025
Baraza Maalum la Madiwani la Halmashauri ya Mji Handeni limependekeza kuongezwa kwa maeneo ya utawala katika Jimbo la Handeni Mjini kwa lengo la kuboresha huduma za kijamii, kiuchumi na miundombinu kw...
Posted on: March 11th, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Bi. Maryam Ukwaju, ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), unaoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwet...