Posted on: April 29th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albert Msando, amefanya ziara kutembelea maeneo yote ambayo mradi wa BOOST utatekelezwa. Mradi huo ni wa uboreshaji wa miundombinu ya elimu ya msingi ikiwamo ujenzi w...
Posted on: April 28th, 2023
Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Handeni Mji Mh.Mussa Abeid Mkombati wakati akifungua kikao cha Baraza la Madiwani leo tarehe 28-04-2023.
"Nitumie fursa hii kukupongeza sana ...
Posted on: April 28th, 2023
Serikali kupitia mradi wa BOOST imetoa kiasi cha shilingi milioni 125.4 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa manne na matundu matatu ya vyoo, katika shule ya msingi Kwenjugo iliyopo katika mtaa ...