Posted on: May 31st, 2017
Mhe.Ally Twaha Mgaya (aliyesimama katikati) Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Handeni akiongoza Baraza la Madiwani liliofanyika tarehe 31/05/2016 kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Handeni...
Posted on: May 3rd, 2017
Bi Mercy Nkinda akipokea zawadi kutoka kwa Katibu Tawala wa Wilaya Bw.John Mahali (wa kwanza kutoka kushoto) kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Chanika ...
Posted on: April 22nd, 2017
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Bw.Kenneth Haule akishiriki zoezi la upandaji miti liliofanyika tarehe 21/04/2017 kwenye Halmashauri ya Mji,huku akishuhudiwa na baadhi ya washiriki wakiongozwa na Mhe...