Posted on: December 29th, 2018
Katika jitihada za kukabiliana na uhaba wa vyumba vya Madarasa katika Halmashauri ya Mji handeni juhudi mbalimbali zinaendelea kufanyika ili kutatua changamoto hiyo..
Ofisi ya Mkurugenzi kwa ...
Posted on: November 28th, 2018
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Handeni kwa pamoja limeridhia wahe.Madiwani wote kukatwa posho yao ya Mwezi ili kuchangia miradi mbalimbali ya Maendeleo.
Akizungumza kwenye kikao cha Baraza l...
Posted on: November 19th, 2018
Kamati ya Fedha na Utawala katika Halmashauri ya Mji Handeni imeridhishwa na kupongeza hatua ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Hayo yamejiri leo wakati ikifanya ziara ya...