Posted on: August 18th, 2018
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Mhe.Joseph Kakunda amewataka viongozi wa Serikali Wilayani Handeni kuhakikisha wanasimamia vyema fedha za miradi ya maendeleo.&n...
Posted on: July 4th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Martine Shigela ameipongeza Halmashauri ya Mji Handeni kwa kuendelea kupata hati safi. Ameyasema hayo kwenye Baraza maalum la Madiwani la kujadili na kupitia hoja za Mkaguzi ...
Posted on: May 23rd, 2018
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Mji Handeni limekutana kwa ajili ya kuwasilisha na kupokea taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Kata zake mbalimbali.
Katika kikao hicho cha kuj...