Posted on: May 10th, 2023
Ofisi ya Kamanda wa TAKUKURU wilaya ya Handeni, imefanya kikao na wasimamizi wa miradi ya ujenzi ya miundombinu ya shule inayo gharamiwa na serikali kupitia mradi wa BOOST.
Lengo la kikao hicho ni ...
Posted on: May 14th, 2023
Katika kikao cha madiwani cha tarehe 28/4/2023, moja ya Agenda waliyokubaliana ni kupita kwenye nyumba za ibada na kuhamasisha na kuelezea namna ambayo maadili yamepotea kwenye jamii yetu. Katika kufa...
Posted on: May 9th, 2023
Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh. Waziri Kindamba amesema anataka kuona viongozi wa chama na serikali katika mkoa wa Tanga wanafanya kazi kwa ushirikiano, upendo na mshikamano ili wasimuangushe Mh. Rais Samia...