Posted on: February 21st, 2019
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji Handeni kupitia mkutano wake maalum limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya kawaida na mpango wa maendeleo kwa mwaka wa fedha 2019/20.
Ambapo Halmash...
Posted on: February 4th, 2019
Kamati ya fedha na Utawala yaridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.Kamati ilitembelea miradi hiyo kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 30-31/01/2019.
Kamati ilitembelea jumla ya ...
Posted on: January 5th, 2019
Katika jitihada za kuendelea na kupambana na uhaba wa vyumba vya madarasa katika Shule za Sekondari Halmashauri ya Mji handeni, "Msalagambo" umeendelea kushika kasi ambapo leo tarehe 05/10/2019 ilikuw...