Posted on: October 26th, 2017
Mtandao wa simu za mkononi Tigo umezindua mradi wa eSchool katika Shule ya Sekondari Handeni iliyopo katika Halmashauri ya Mji Handeni.
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa mradi huo alikuwa ni Mkuu wa M...
Posted on: October 21st, 2017
Halmashauri ya Mji Handeni leo tarehe 21/10/2017 imeanza rasmi kugawa maeneo kwa ajili ya ujenzi wa vibanda vya biashara eneo la soko jipya Seuta.
Baadhi ya Wananchi waliotuma maombi yao kwa Mkurug...
Posted on: October 17th, 2017
Wakuu wa Shule za msingi na Sekondari pamoja na waratibu Elimu Kata katika Halmashauri ya Mji Handeni wameshiriki mafunzo ya mfumo wa malipo na kutoa taarifa za Fedha za vituo vya kutoa huduma (FFARS-...